Blogger Widgets

Thursday 23 May 2013

HAPPYNESS KITCHEN PARTY AT YATCH CLUB 19/05/2013

Hapa ndipo mahali alipokuwa ameandalliwa bi Happiness kukaa
Mama wa mwana akiingia....................pamoja na wamama wenzie
Akiselebuka mwenyewe kwa furaha.....full shangwe


Mama akimletea mwanae zawadi........kumkaribisha katika sherehe.

Aligawa chujio wakati anaingia.......akirusha upande wa kulia na kushoto....

Mama anaongea kwa furaha sana......anafurahi kuona mwanae amefikia hatua hii


BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU ni ujumbe ulio katika flame hiyo aliyobeba mama




Kadadaaaaa akimtafuta mama yake  Kumpatia zawadi kama ishara ya upendo

                                               Keki ya mamii 





Mc wetu wa siku hiyo MANKA LEMA.......akisherehesha
I

HHongereni kina mama mlipendeza kila mtu kwa stail yake....



Mama Lema akimuasa mtoto Happy


Mama Shewio naye alipata nafasi ya kusema na mtoto Happy

Happy alionesha kufurah kwa muitikio wa kina mama...aliwashukuru kwa kutoa MUG
Hizi ndizo zawadi alizopata kutoka kwenye kamati  ya maandalizi
Zawadi..........
Zawadi..........
Zawadi..........

Zawadi............
Zawadi................


Mwenyekiti wa kamati akikabidhi slip ya bank.........mbali na zawad hizo walizotoa..
Meza kuu katika kamati ya sherehe walipatiwa zawadi ya tenge kila mtu kama shukrani

Mama na Mwana........Hakika......sherehe.... ..ilifana sana........
Best huyoooooo........mlipendeza jamani...
Mama aliwakumbatia wanae akasema.........wanangu ninawapenda na kuwashukuru sana.....

Nami nilivaa hivi..........nilikichambuaje kitenge.....si unajua tena mambo ya designing......