Blogger Widgets

Thursday 18 April 2013

JIPATIE DESIGN TOFAUTI TOFAUTI ZA UBUNIFU NDANI YA MAMAJJ SHOP......

Mavazi haya ni ya ubunifu staili tofauti tofauti zinapatikana kwa mamajj designing shop. 
 Mambo ya kitenge na shifoni.......look gud.......
Tokelezea kwa kuvaa skin na kitenge..........
Mambo ya kumatchisha hayooooo........
Mambo ya zebra sasa........ndo stail on fashion... 
Stail hii umeiona........................????????
Kwa wale wapenzi wa nguo ndefu......mambo ya ukweni......kazi kwenu
Mambo ya colour combo........
Apendeza wewe....church stail

No comments:

Post a Comment