Blogger Widgets

Tuesday 23 April 2013

MAMA JJ INGIZO JIPYA


Mambo ya jeans on fashion.

Mambo ya V hayooooo.........


                         Matanvua hayooooo..........plus marinda ya kupanga....


                               Mambo ya mikato .............chezea wewe.......



                                 Duuh........mambo ya zip nje ndo fashion.........


Vazi la church umeliona hilo...........

Waweza kuvaa hata bila mkanda..........apendezaje wewe.........
 Umeiona hiyooooo blauz.........parapanja design  ndo wkt wake huuu
 VItenge vya mchanganyo hivyo.....kweli yapendeza......



                    Hata ofisini waweza kuvaaa jamani........

Sunday 21 April 2013

HARUSI YA BW. MARTIN NA BI. JOYCE KABAGO ILIYOFANYIKA
JUMAMOSI YA TAREHE 14/04/2013 KTK KANISA LA
NYAKATO NATIONAL.

 
                                         hapa maarusi wakionesha viapo vyao vya ndoa
                                         maharusi wakilishana keki kama ishara ya upendo kati yao
                                        Maharusi wakiwa katika pozi la pic
                                         Me and my friend joyce,Martin bwana shemeji na Best yake Martin.
                                         Kulia ni mimi katika vazi langu nililobuni mwenyewe .mambo ya colorchain

                                       Mambo ya kuvishana pete ikiwa ndo tendo muhimu haswaa
Wafanyakaz  wenzie na bwana harusi ktk picha ya  pamoja


Thursday 18 April 2013

JIPATIE DESIGN TOFAUTI TOFAUTI ZA UBUNIFU NDANI YA MAMAJJ SHOP......

Mavazi haya ni ya ubunifu staili tofauti tofauti zinapatikana kwa mamajj designing shop. 
 Mambo ya kitenge na shifoni.......look gud.......
Tokelezea kwa kuvaa skin na kitenge..........
Mambo ya kumatchisha hayooooo........
Mambo ya zebra sasa........ndo stail on fashion... 
Stail hii umeiona........................????????
Kwa wale wapenzi wa nguo ndefu......mambo ya ukweni......kazi kwenu
Mambo ya colour combo........
Apendeza wewe....church stail