Blogger Widgets

Sunday 21 April 2013

HARUSI YA BW. MARTIN NA BI. JOYCE KABAGO ILIYOFANYIKA
JUMAMOSI YA TAREHE 14/04/2013 KTK KANISA LA
NYAKATO NATIONAL.

 
                                         hapa maarusi wakionesha viapo vyao vya ndoa
                                         maharusi wakilishana keki kama ishara ya upendo kati yao
                                        Maharusi wakiwa katika pozi la pic
                                         Me and my friend joyce,Martin bwana shemeji na Best yake Martin.
                                         Kulia ni mimi katika vazi langu nililobuni mwenyewe .mambo ya colorchain

                                       Mambo ya kuvishana pete ikiwa ndo tendo muhimu haswaa
Wafanyakaz  wenzie na bwana harusi ktk picha ya  pamoja


No comments:

Post a Comment